Kwa maudhui

Kuhusu sisi

lernu!: neno la Kiesperanto ambayo lina maana "kujifunza".

Ujumla

lernu!: tovuti bila malipo kwa ajili ya kupata kujua na kujifunza kiesperanto lugha ya kimataifa. Pia ni aina ya mbinu ya majaribio, bila mwalimu, na bila darasa. Tuko wazi kwa ushirikiano na sisi kwa furaha na kubadilishana ujuzi na mawazo!

Pia ni aina fulani ya ujuzi wa mtandao, bila mwalimu, na bila darasa. Tuko wazi kwa ushirikiano na kwa furaha kubadilishana ujuzi na mawazo!

mazingira

Wazo la lernu! kama mazingira ya kujifunza lilizaliwa likiwa na ya kwanza Edukado@ Internet (E@I) semina Sweden Aprili 2000, na lilikamilika Oktoba 2001 kipindi ca E@I ya pili, Sweden uko uko. Julai 2002, uyo mradi ulipata msaada kutoka fondaĵo ESF, na tovuti ikaundwa hiyo Agosti. uzinduzi ulifanyika miezi minne baadaye, Desemba 2002.

Kurudi juu